Catholic IntelligenceIf the Lord does not watch over the city, in vain does the watchman keep vigil.Ps 127:1

Catholic Life

Medjugorje: Uharibifu wa eneo la Ibada kwa Bikiria Maria

vaticannews.va

Ofisi ya Kiparokia ya Eneo la Ibada kwa Bikira Maria huko Medjugorje inatoa wito wa maombi,msamaha na kufunga baada ya madhabahu ya nje ya Kanisa la Mtakatifu Yakobo kuchomwa moto na kusababisha uharibifu mkubwa.Sanamu ya Bikira Maria pia iliharibiwa.Nafasi hizo zimesafishwa na zinafaa tena kwa ibada kulingana na taarifa kutoka ofisi hiyo hiyo.

SourcesVatican News

1 source Jul 28, 2026

Read the source Full text

Discussion

Loading discussion…

Source-visible Catholic information · Catholic News · request membership. Comments are signed contributions from verified members; the record itself changes only through editorial review.