Catholic IntelligenceIf the Lord does not watch over the city, in vain does the watchman keep vigil.Ps 127:1

Religious Orders

Mtakatifu Inyasi wa Loyola: Vipaumbe vya Wayesuit

vaticannews.va

Vipaumbele vya Wayesuit katika kipindi cha miaka kumi: 2019 hadi mwaka 2029 ni msingi wa mahusiano na mafungamano kati ya Wayesuit na Kristo Yesu. Baba Mtakatifu Leo XIV alibainisha vipaumbele vinne. Vipaumbele hivi ni msingi wa maisha binafsi na katika Jumuiya inayosali na kufanya mang’amuzi ya pamoja.

SourcesVatican News

1 source Jul 30, 2026

Read the source Full text

Discussion

Loading discussion…

Source-visible Catholic information · Catholic News · request membership. Comments are signed contributions from verified members; the record itself changes only through editorial review.